Umezi-miss zile ngoma kama “Nafasi nyingine” na nyingine kutoka kwa Park Lane ya Suma Lee na Cpwaa? basi wakati ndio huu ambapo Swahili Gang ya Suma Lee na Brainstormusic ya Cpwaa kwa pamoja chini ya mwamvuli wa Park Lane wanakuja na ngoma inaitwa “Kila mtu na wake” ambayo soon itadondoka

