Star Gani amependeza zaidi ndani ya gauni hili moja?


Kama wanavyonekana Pichani ni Muigizaji kutoka Ghana Yvone Nelson, Pop Star Rihanna na Paris Hilton katika mazingira tofauti wote wakiwa wamevaa gauni kutoka SS Alexander Wang, nani ametokelezea zaidi?!!!