Nikki wa Pili ahitimu Master in Arts Development Management






Nikki Wa Pili kutoka Weusi amemaliza degree yake ya pili (Masters) kwenye chuo kikuu cha Dar es salaam. Mkali huyu kutoka A town ameshiriki mahafali ya kumaliza masomo yake ya Master of Arts in development management kwenye ukumbi wa Mlimani city na hizi ni baadhi ya picha  kutoka kwenye graduation hiyo.
1
2
3
4
5