Mandela Anaendelea Vizuri

Aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini, Mzee Nelson Mandela(94) ambeye amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya katika mfumo wa upumuaji, anaendelea vizuri baada ya kutoka salama katika Upasuaji aliokuwa akifanyiwa. Rais Jacob Zuma amemtumia salamu za pole na kumtakia kupona haraka.