Chriss Brown Bangi Mtu!



Angalia Picha zikimwonesha Msanii Chriss Brown akivuta stimu za nganja, na jinsi alivyo kwa sasa! Hta hivyo amewaomba radhi mashabiki na kuahidi mwanzo mpya na mzuri na kuamua kuyapoteza mabange alokuwa akiyagonga na kumvuruga akili!