Aaah Bieber Taratibu Kidogo!!



Msanii wa muziki anayependwa zaidi na vijana, Justin Bieber amenaswa na kamera za wadaku akiwa maeneo anakula bata na demu wake. Msanii huyo mwenye utajiri mkubwa ukilinganishwa na umri wake ameonekana na mwanadada Selena Gommez. Dogo kashakuwa huyu!!