Tanzania Gossiper
Pages
Home
HABARI ZA KIMATAIFA
HABARI ZA KITAIFA
MAPENZI
FUMANIZI
UDAKU WA TANZANIA
UDAKU WA AFRICA
UDAKU WA ULAYA
PICHA ZA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA AZAM TV
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.…
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.
Kutoka kushoto ni Maulid Kitenge, Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi
Saleh Ally
na mmoja wa wafanyakazi wa Azam Tv.
Keki maalum zenye jina la Azam Tv kwa ajili ya wadau.
Kikundi cha burudani cha ngoma za asili kikitoa burudani kabla ya ufunguzi.
Wateja wakipata huduma muda mfupi baada ya ufunguzi.
Wasanii mbalimbali wa Filamu nchini nao walikuwepo kwenye shamrashamra hizo za ufunguzi wa Azam Tv.
Newer Post
Older Post
Home