Show ya Wema Sepetu, 'In My Shoes' Msibani na Baada ya kumaliza Msiba, Msasani Dar
Mwigizaji staa wa Tanzania ambae ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu hukutana na watu wake wa nguvu kila wiki kupitia show yake ya TV (eatv) inayohusu maisha yake pamoja ishu nyingine zinazomuhusu. Kama ulimis iliyopita unaweza kuungana nae hapa….