Rais Kikwete na Kenyatta wa Kenya wakutana na kuteta jambo muhimu leo huko Afrika Kusini



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo November  5, 2013 (picha: Ikulu ya Tanzania)