Karrueche Tran aweka picha hii Instagram kumuumiza Rihanna



Wapenzi wanaogombana na kutengana kila mara wamerudiana tena huku mwanadada Karrueche Tran akisistiza kwamba yeye na Criss Brown watakuwa pamoja milele daima.