Polisi waliopiga picha na mrembo akiwa "UCH" kuchunguzwa.
Cheyenne Lutek, 19, katikati. Akiwa ameambatna na Askari polisi wawili ambao wanachunguzwa kwa kitendo chao cha kupiga picha za uch! na mrembo huyo wakati wapo kazini na wamevaa sare za Jeshi la Polisi.
Cheyenne Lutek, ni mwanaharakati anayepigania haki za wanawake kutembea uch!.