Eti Isha Mashauzi anatumia Madawa ya Kulevya!



-->




Hatimaye mamaa Isha Mashauzi, mkurugenzi wa bendi ya mashauzi classic amefunguka na kukanusha ya kwamba anavuta bangi, badala yake amesema ya kuwa hupata faraja toka kwa vinyaji vikali na mirungi hasa akiwa anataka kupanda stejini, na kwa vile hana mume wala mtoto basi hizo ndo kampani zake kwa sasa.