"Kufanya Mapenzi Mara 3-4 kwa Wiki ndo siri Yetu"

-->
Hayo si maneno yangu bali ni maneno ya wapenzi hao wawili, ambao walisema siri kubwa ya uhusiano wao kuwepo hadi leo ni kufanya mapenzi mara 3-4 kwa wiki. Sijui kibongo bongo lipoje hili!