Mambo ya Mchina

Umati wa wananchi wakishangaa kituko hicho ambacho inasemekana gari ambalo asili yake inatengenezwa China ilipogonga Baskeli ambaye Inatengenezwa Ujerumabi. Matokeo ni kama yanavyoonekana Hapo.