Video Wasanii wakiwa katika "mahaba" mazito

Video ime leak ikimuonesha mwanadada  wa Ghana, Nikki Samonas na Njemba muigizaji wa Nigeria Jim Iyke wakiwa katika mahaba mazito!! Ingawa mwanadada huyo alikataa kuhusu uhisiano huo, lakini mambo sasa hadhani.

Video hiyo inapatikana hapa : http://www.youtube.com/watch?v=o5M10Lqf9SQ&feature=player_embedded