Maza "Mcharuko"

Kuwa na Maza kama huyu hasara! maana anajishebedua na kujipiga picha akiwa kavaa kichupi na kisidiria mbele ya mtoto wake wa kiume mpaka dogo anaona aibu na kuamua kujificha. Nomaaa!