Video ya Shilole iliyomfanya Aambulie Mashushu Mtandaoni


Angalia hapo chini video mpya ya mwanadada shilole," NAKOMAA NA JIJI" ambayo imefanywa na Nisher kiasi kumfanya Shilole afunguke na Kiingereza Ki Bovu au cha "Majahazi" kama alivyosema mmoja wa Mashabiki.