Bieber arikodiwa akiwa na kimwana wa Brazil Chumbani
Msanii w Pop mwenye Asili ya Canada amejikuta katika ka Scandal ka aina yake baada ya kusadikiwa alikuwa na Mwanamke Mmoja anayejiuza wakati alipoenda kupiga Show Brazil hivi Karibuni. Video ya Tukio lenyewe ni hiyo hapo:-