Mwanadada ambaye amekuwa aking'aa katika screen kwa staili ya kulingishia kifua chake, Cossy Orjakor, ame share na Fans wake pics za hivi karibuni akiwa ana shoot video ya msanii mmoja nchini Nigeria akiwa Kimahab* zaidi ndani ya gauni jekundu
Angalia Picha zaidi hapo chini:-