Baada ya Kumtusi Prezzo, Chaga Barbie amvaa Huddah Monroe




Baada ya Huddah Monroe kuonekana kutokupenda Uhusiano wa Prezzo na Galfriend wake kutoka Tanzania anayejulikana kama Chaga Baby ama Starlisha  na kuanza kumtukana Prezzo kuwa ni Mbwa koko, Starlisha naye ameamua  kumjibu Huddah Monroe kupitia Instragram