Waokoaji huko LOS ANGELES Marekani wamefanikiwa kuwaokoa zaidi ya Panya, Mijusi na Nyoka 20,000 ambao walikuwa katika hali mbaya na hatarani kufa katika stoo moja maalum ya kufugia wanyama.
![]() |
Mitchell Steven Behm (Kushoto), 54, Mmiliki wa Global Captive Breeders huko Lake Elsinore, Calif. Behm na Meneja David Delgado, au Jose Magana (Kulia), 29, |

Alifanikiwa kupata kazi na ndipo alipoweza kufanya uchunguzi zaidi na kukusanya ushahidi wa kutosha uliopelekea watuhumiwa hao kusomewa mashtaka zaidi ya 100 ya unyanyasaji na uvunjaji wa haki za wanyama.
