Hongera Dida kwa Kuolewa


Kama wanavyoonekana kupendeza katika Picha ni Ddada yangu Dida akiwa na Mumewe Eddie, Mungu awajaalie kila la kheri baada ya kufunga ndoa hivi kiribuni.