Ndoa ya Mbilikimo!!!

Pengine umeshawahi kusikia, leo mimi nakuletea picha kamili. Kutokana na maumbile yao ya ufupi, ndugu wawili ambao ni mbili kimo wafunga ndoa na wapenzi wao na kuweka rekodi ya kuvutia.